CAMPUNI
CAMPUNI YA WANAWAKE WA KONGOMANI KWA KUPIGANISHA UBAKAJI
Kufuatana na vitendo vya ubakaji, vinavyoendeshwa wakati wa mapambano, wanawake, mashirika ya wanawake wa mahali hapo, mashirika za rahiya wame toa mwito kwa mashirika za kigeni kwa kukemea na kuhukumu maovu haya. Ni vitendo vya uaribifu visivyo na jina, visivyo na hesabu, vyenyi kubomoa maisha na ku angamiza jamii kwa muda mrefu.
Tunahukumu kutokupewa malipizi kwa watenda maovu hawa ! Tunakubali kuhudumia wale waliyobakwa, hii ni matamshi yanayo tolewa na watetezi wacampuni kuhusu kupiganisha ubakaji.
Wakati wamoja walicheza katika miji kwa kufungua campuni lataifa inchini kwa kupiganisha ubakaji, katika vijiji vyetu waliendelea kutubaka pasipo kupewa malipizi yeyote. Tuna lazima ya matendo ya kawaida kwa kupiganisha ubakaji kulingana na sheria, kwa kumaliza mazarao ya ubakaji : inabidi pia kuwe nia nzuri ya kisiasa ili sheria inayo pinga ubakaji iendeshwe kwa makini na kukomeshwa kwa uzaifu wa mahakama. Ina bidi kuunganisha watu kupitia campuni ya kuchangamusha na kuweka mupango wa kuhudumia wale waliyobakwa na jamaa zao.
Waliyobakwa ni wanainchi sawa na wengine, niwatu wamuhimu sana kwa mabadiliko inchini mwetu. Sauti zao zinapashwa kusikilizwa, mahitaji yao kutimizwa, na kurudishwa uutu wao. Tusiwafanye kama vyombo kwa kupata pesa ama maonyesho ya magumu yao kwa faida ya makundi ya kigeni ijapokua ni mbali na maisha yao ya kila siku. Ukweli huu tunauishi sisi vikundi vya wamama, tulipo vijijini mbele ya mbele ya vita wakati wa mapambano, na hata sasa. Tunaiishi vijijini, tuko kwamuda mrefu. Leo tunasumbuliwa na matatizo juu ya kudumu kwa kazi zetu sababu ya usiano wa kutegemea. Hatuna mafasirio juu ya namna ya kuanzishwa kwa huduma za kigeni, tume tengwa kwa mazungumuzo na wenyi pesa. Tunazarauliwa na kukosa usiano. Matokeo nini wakati mashirika ya kigeni na ya umoja wa mataifa watakapoondoka?
Sisi hatuko tu wa wapokeaji, tunapashwa kushiriki mazungumuzo kwa ujenzi mpya wa inchi namna ilivyotangazwa katika kibarua 1325 cha shirika la usalama ulimwenguni.
Mwito wetu wa elekeya vikundi vya inchi za kigeni, wanaotoa pesa na makundi ya umoja wa mataifa ! Tufanye kazi pamoja na kwa nguvu pamoja !
Tambueni kuchunguza kwetu !
Tambueni ujuzi wetu !
Heshimieni kazi zetu !
Mutushirikishe katika vitambo vyenu vya kazi kwakuzaidia waliobakwa, hata katika utafuti wa pesa, hata kwakuweka mpango wa campuni, utendaji ya huduma vijijini. Kwanini kurejea nakutenda sawa na yale yaliyo anzishwa? Kwa nini kutoa musaada ambao hauambatane na hitaji? Namna gani huwazia kubadirisha hali na kufahamu mafikiri ya kweli na hausemi luga lao nakutambua ujuzi na maoni yao.
Tunatumika kila mara na wale waliobakwa, na jamaa zao, tupo ndugu ,mama, shangazi, anti, jirani zao. Tunajua kuwasikiliza, tunawapa sauti, tunajua kuamsha jamii, tunajua umuhimu wa kuwa na husiano na mamlaka ya usultani ya kiasili na serkali : mtupatie namna ya kudumu kwa kuendelesha kuhudumia kiakili wabakwa, kwa kutenda kama wanainchi kubadili maisha yao, ya jamaa na jamii yao. Kuzidisha kujiongoza kwa makundi vijijini ni kuhimirisha huduma kwa wale waliobakwa.
Pasipo usaidizi wenu kazi zetu hazitakua na nguvu, pasipo husiano kati yetu nanyi kazi yenu hazita kua na matokeo. Mutusaidie kubadilisha namna ya kupiganisha ubakaji katika Kongo.
This petition was signed by the following organizations:
Arche d'Alliance (ARAL) (Sud-Kivu)
Association des Femmes pour les Droits et la Démocratie (AFD) (Sud-Kivu)
Association des Femmes pour le Progrès Social et Culturel (AFPSC) (Est de la RDC)
Association des Mamans Chrétiennes pour l'Assistance aux Vulnérables (AMCAV) (Sud-Kivu)
Association pour la Défense des Droits des Femmes (Nord-Kivu)
Collectif des Associations Féminines de Beni (CAF/Beni) (Nord-Kivu)
ESSAIM (Cadre de concertation et d'action pour la défense des droits des femmes) (Est de la RDC)
Forum des Mamans de l'Ituri (FOMI) (Ituri)
Initiative des Femmes pour le Développement et l'Autopromotion (IFDA) (Sud-Kivu)
Réseau Femmes Développement / Ituri (Province Orientale)
Solidarité des Femmes Activistes des Droits Humains (SOFAD) (Sud-Kivu)
Solidarité des Femmes en Difficultés (SOFED) ( Sud-Kivu)
Solidarité Féminine pour la Paix et le Développement Intégral (SOFEPADI) (Nord-Kivu, Ituri)
Solidarité et Paix pour le Développement Intégré (SOPADI) (Sud-Kivu)
Syndicat des Femmes Défavorisées (SYFED) (Sud-Kivu)
Synergie des Femmes contre les Violences Sexuelles (SFVS) (Nord-Kivu)
Volontaires pour le développement Auto-Centre (VODAC/ASBL) (Maniema)
Collectif des Femmes au Maniema (COFEMA) (Maniema)
Centre des Femmes pour le DPM (Maniema)
Union paysanne pour le développement intègre (U.P.D.I.) (Maniema)
Ligue de Femme pourle développement du Maniema (L.F.D.M.) (Maniema)
Soutien aux actions des Femmes indigentes au Maniema (SAFI-MMA) (Maniema)
Mouvement pour encadrement des Femmes sans voix à la Base (M.E.F.V.B) (Maniema)
Union paysanne de Pangi-Kailo-Kasongo-Kabambare (UPKA) (Maniema)
Groupe d'action pour le développement de Maniema (GADEMA) (Maniema)
Jeunesse unie pour la paix (JUP) (Maniema)
Projet d'assistance à l'enfance défavorisé de Maniema (PAED) (Maniema)
Femmes volontaires pour la reconstruction et la paix (FVRP) (Maniema)
Femme d'Abord (Maniema)
AFPERMA (Maniema)
PDAPN (Maniema)
CFDM (Maniema)
AFAFAC (Maniema)
YMCA (Maniema)
Association pour le développement communautaire des Femmes (ADECOP) (Maniema)
CARREGO/Maniema (CARREGO) (Maniema)
RPE/Maniema (RPE) (Maniema)
Maniema - Libertés (Maniema)
APROF/MMA (Maniema)
ALFED (Maniema)
AFILMA (Maniema)
APRODEF (Maniema)
ADIF/MMA (Maniema)
APEMA (Maniema)
UWAKU (Maniema)
DFF/MA (Maniema)
A.J.F. MA (Maniema)
BACOP/Maniema (Maniema)
REFED/Maniema (Maniema)
Prorigawamama (Maniema)
With support from:
Coalition for the Rights of Women in Conflict Situations (Canada)
Rights & Democracy (Canada)
Add your signature online:
